Nyashinski - Marathon Runner (Official Audio) [SMS ‘Skiza 7500610’ to 811]

  • Lyrics written and Performed by: Nyashinski (@RealShinski)
    Music Co-Written By: Cedric "Cedo" Kadenyi (@cedo_producer)
    Music Produced by: Cedric "Cedo" Kadenyi
    Copyright: Geta International Ltd.
    LYRICS
    Yeh
    Huh
    [Refrain]
    But the music we making it touch your soul
    Take you to a place you never been before
    Africa tunaikamia tu mos mos bana
    I’m Kenyan so you know I’m a Marathon Runner
    [Verse:1]
    Huh
    Unaishi aje vibasic, ni kaa kesho iko promised
    Hakuna era sitesi, napenda album ya Chronixx
    Nyuma yangu nina jeshi, inaomba niende mbali
    Wanakungojea udedi, waende wagawe mali mm
    I’m currently
    Not in a position to kill poverty
    Sina kitu kwa mpesa usinihalle please
    Natafuta kitu in many different currencies
    Blank check disease
    Wife akidai shopping twende overseas
    Nimekam na gari kubwa lemme show my keys
    Nazieka juu ya meza uone emblem daddy
    Nyashinski ndiye stima wacha Kengen nani
    [Chorus:]
    Kipchoge keep jogging x4
    (Kipchoge) It’s the way I live my life
    (Kipchoge) Can’t let nobody live my life for me
    (Kipchoge) Can’t let nobody run me
    (Kipchoge) Can’t let nobody run me ah
    [Verse:2]
    Unaorder aje vibasic, na ata si we unalipa
    Kuna era sitesi? Napenda album ya E Sir
    Come hapa tuongee kwanza
    Nani atatupee mkwanja tule
    Hakuna kitu ya free jo
    Ikatae kaa ni ya bure
    Style imeenda shule
    ‘Tuko High’ (kama shule)
    Najua hapa ulikuwa ushaapa tu ni fry kabla ukule
    Huh
    Kila dogi iko na siku yake
    Huh
    Na paka maisha tisa ni unfair
    Kila siku ukiamka amka na asante
    Furahia ile uko nayo wacha kujicompare
    Ule ana mingi ndo anaongezewa ju yake
    Iko mtu alisemanga eti mi ni don’t care
    [Chorus x1]
    [Bridge]
    Game iliniita nika come
    Why you hating
    In real life I’m much more calculating
    You don't want another woman looking at me
    You hate my addictions
    You love my dreads
    [Refrain]

    Category : Kenya Music Videos

    #nyashinski#marathon#runner#official#audio#sms#lsquo#skiza#7500610#rsquo#811

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up