Include this script into your page along with the iframe for a responsive media embed
MSANII HAITHAM AFARIKI DUNIA Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Haitham Kim ambaye hivi karibuni ndugu zake walijitokeza kwenye vyombo vya habari kuomba wasaidiwe kutokana na kushindwa kulipia matibabu ya Msanii huyo ambayo yalikuwa ghari amefariki dunia leo katika Hosptali ya Rufaa ya Temeke Jijini Dar es salaam