Maisha ya kibabe ya O-TEN Morogoro nje ya Bongo Fleva, Awachana makavu HARMONIZE & DIAMOND PLATNUMZ

  • Alitamba na nyimbo nyingi kali, ikiwamo wa Mimi, kisha akafanya kolabo na wakali wa wakati huo, Chid Benz (Nakaza Roho) na baadae Afande Sele (Tusahau), O-TEN mkongwe wa mashahiri ambaye maisha yake mjini Morogoro yako hivi.
    Ilitulazimu kuacha kila kitu na kumsaka kwenye 'chimbo' zake zote mjini Morogoro kutokana na mfumo wa maisha aliyojichagulia mwanamuziki huyo ambaye nyimbo zake zilikuwa burudani masikioni mwa mashabiki wake miaka ya 2000.
    Mwanamuziki huyo ambaye baba yake alikuwa injinia, anasema alianza kujifunza kuimba akiwa Afrika Kusini, ambako alipelekwa mara baada ya kuzaliwa hapa nchini ili akaishi na baba yake aliyekuwa huko kikazi.
    O-TEN amekuwa kimya kwa muda mrefu, tangu 2015 alipoachia wimbo wa Dozee na 2017 video ya Komaa nao ambazo alishirikishwa hajaonekana tena kwenye ulingo wa muziki, ingawa mwenyewe anasema kwake ni kazi kazi.
    #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama

    Category : Tanzania Music Videos

    #maisha#ya#kibabe#o#ten#morogoro#nje#bongo#fleva#awachana#makavu#harmonize#amp#diamond#platnumz

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up