Unaipa asilimia ngapi Bongo Flava Honors?

  • Msanii wa bongo flava, Dully Sykes akitumbuiza kwenye tamasha la 'bongo flava honons' lilioandaliwa na Msanii wa muziki wa miondoko ya HipHop, Joseph Mbilinyi (Sugu).
    Tamasha hilo limefanyika jana Januari 27, 2023.

    Category : Tanzania Music Videos

    #unaipa#asilimia#ngapi#bongo#flava#honors

    0 Comments and 0 replies
arrow_drop_up